Kwa makala mpya za kuelimisha zilizowekwa muda mchache uliopita, tafadhali rudi HOME page na ufungue makala zinazofuata chini baada ya makala hii. Kuingia kwenye Blogu ya Semina ya kujifunza jinsi ya kuandaa mipango ya biashara kwa sauti na maandishi bonyeza maandishi hayo.
Login to your account below. Forgotten Password? Create New Account! Fill the forms below to register. All fields are required.
Fursa kwa walio na mtaji mdogo. Embed Size px. Start on. Show related SlideShares at end. WordPress Shortcode. Share Email. Top clipped slide. Download Now Download Download to read offline. Kaka Sule Follow. Project Officer. Mkristo na uchumi part 1. Jipime Sayansi Darasa la Sita. Sadaka na-maana-ya-utoaji. Uchumi wa kibiblia. Ujana na mafanikio. Chuo kikuu cha mtakatifu agustino autosaved. Kuunda Vikundi Lesson. Mada ya Kwanza File. Andiko la Biashara Mpango wa biashara ni kauli rasmi ya seti ya malengo ya biashara, sababu wao ni waumini kufikiwa, na mpango kwa ajili ya kufikia malengo hayo.
Masoko Lesson. Ujasiriamali Neno ujasiriamali linatokana na maneno mawili ambayo ni UJASIRI na MALI hivyo maana ya ujasiriamali ni kuwa na Ujasiri au mshawasha wa kutafuta na kupata mali Uwezo wa kutambua fursa za biashara haraka na uthubutu wa kuzitekeleza fursa hizo pindi zinapojitokeza.
Ujasiriamali ni uwezo wa kutambua fursa za kibiashara kwa haraka na kwa udhubutu wa kuzitekeleza fursa hizo pindi zinapojitokeza. Uwezo wa uthubutu kushinda vikwazo vinavyoweza kuzuia utekelezaji wa fursa za biashara.
Ujasiriamali Lesson. Biashara Biashara ni pamoja na hali ya kununua na kuuza, kuzalisha mali na kuuza utaalam. Biashara Lesson. MTAJI Hapa tunajumuisha aina zote za uzalishaji ambazo zinaweza kutumika katika ubunifu unaoweza kuongeza thamani katika bihaa au huduma inayotolewa. Mtaji Lesson. Kupanga Gharama na Bei Lesson.
0コメント